

Now click Next to accept the license agreement.įollow the on screen directives in order to install the application properly. Once you have found it, click it to install the application or exe on your PC or Mac computer. Now that you have downloaded the emulator of your choice, go to the Downloads folder on your computer to locate the emulator or Bluestacks application. Step 2: Install the emulator on your PC or Mac You can download the Bluestacks Pc or Mac software Here >.

Most of the tutorials on the web recommends the Bluestacks app and I might be tempted to recommend it too, because you are more likely to easily find solutions online if you have trouble using the Bluestacks application on your computer. If you want to use the application on your computer, first visit the Mac store or Windows AppStore and search for either the Bluestacks app or the Nox App >. ★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.Step 1: Download an Android emulator for PC and Mac ★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini. Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.

Pia app hii ina ala za nyimbo ambazo unaweza kusikipiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (Offline) Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini. See More See LessĪpp hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.Īpp hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Vingine ni Matendo ya Mitume, Nyaraka za Mitume, hasa Mtume Paulo, na Ufunuo wa Yohane. Vinne vya kwanza ni Injili nne zinazoleta habari za maisha, matendo na maneno ya Yesu. Vitabu hivyo 7 vikaja kukataliwa na Martin Luther katika karne ya 16, halafu na Waprotestanti wengi, lakini vinazidi kutumiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kwa jina la Deuterokanoni. Hivyo Biblia ya Kikristo ilikuwa na vitabu 7 (viwili vya Wamakabayo, Yoshua bin Sira, Hekima, Tobiti, Yudith na Baruku, pamoja na sehemu za Esta na Danieli) visivyokubaliwa baadaye na Wayahudi. Kwa wakati huo Wakristo walikuwa wamezoea tayari toleo la Kigiriki la maandiko matakatifu yaliyotafsiriwa katika karne ya 2 KK ambalo linajulikana kwa jina la Septuaginta na kuwa na vitabu kadhaa visivyokuwa vimetunzwa katika lugha asili ya Kiebrania wala ya Kiaramu, au vilivyoandikwa moja kwa moja katika lugha ya Kigiriki. Suala hilo liliondolewa kuanzia mwaka 80 BK wataalamu wa Wayahudi wa huko Jabneh (Jamnia) walipochukua msimamo mkali dhidi ya wafuasi wa Yesu. Ni kwamba wakati wa kutokea kwa Ukristo palikuwa na tofauti ndani ya Uyahudi kuhusu vitabu vilivyohesabiwa kuwa maandiko matakatifu. Kimsingi vitabu vya Agano la Kale ni vilevile vya Biblia ya Kiebrania, ingawa madhehebu ya Kikristo hutofautiana kidogo katika hilo. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake. Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".īiblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu". Biblia Takatifu ya Kiswahili (Swahili Bible) Agano la Kale na Jipyaīiblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo.
